JK alipokutana na David Cam what?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734


Rais Jakaya Kikwete akiwa katika maongezi na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron walipokutana mjini Davos pembeni mwa Kongamano la Uchumi la Dunia jana Januari 26, 2012
 
hivi cameron mchezo wake si ndo ule mkuu aliukataa?sina wasiwasi,nothing practically really happened
 
Cameron anamwambia Jk kama mnataka misaada yetu toeni tiGO. Jk anamwambia Membe atakujibu baadaye.
 
Jamaa anapenda picha balaa nakumbuka siku ya 50 years ya uhuru aliposikika kwenye tv akisema waleteni watu nipige nao picha..

Hao alimvizia na kumuomba apige naye picha then ampige kizinga...
 
kweli anapenda picha mzee..hata hapo anaonekana amejiandaa kabisaa..maana anamchabo fotografa..
af hawajashikana mikono, bali DC ndio kamshika mkono JK
 
Back
Top Bottom