JK alidanganya- mishahara sio 15-20% increment

Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%

No be objective, hawa wanaoandika hapa wamepata salary slip zikionyesha nyongeza ya 7%. JK alisema 15-20%. Rais hupashwi kusema uongo. Lack of seriousness
 
Hapana mkuu. Kwenye mambo nyeti kama mishahara ni makosa makubwa na hatari kuingiza siasa. Rais anatakiwa kulijua hili.

Uko sahihi kabisa, the salary issue goes to the root of survival of workers/their pensions halafu unasema uongo. Nchi za wenzetu inaweza kukutoa madarakani, maana kusema uongo ni kosa kubwa sana. Unasema uongo halafu unalalamikia low/unsatisfactory delivery ya watumishi, rushwa etc. Kama rais unasema UONGO kwa nini yule asile rushwa, maana nayo ni uongo in the other form!
 
No be objective, hawa wanaoandika hapa wamepata salary slip zikionyesha nyongeza ya 7%. JK alisema 15-20%. Rais hupashwi kusema uongo. Lack of seriousness


Huyu Caesar1 amenikera sana...Anathubutu kusema eti ni uongo wakati waraka No.1 wa utumishi wa umma wa 2012 uliwekwa hapa na unasema kuwa wastani wa ongezeko la mshahara ni 15%. Angekuwa anajua hesabu basi angeweza kutambua tunayoyasema kuwa range ya JK ya 15-20% haiwezi kutupa wastani wa ongezeko wa 15%

Hata sijui watu wengine huwa wanatetea hoja kwa kutumia kigezo gani!!

Ngoja labda tumwekee ili aje na utetezi wake tumwone!
 

Attachments

Hakuna nyongeza wala nn,anaesema ameongezewa ni mbunge.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…