JK alianguka tena jukwaani Sengerema na Mbeya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK alianguka tena jukwaani Sengerema na Mbeya?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Sep 8, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Hivi Muungwana alianguka tena jukwaani huko Sengerema na Mbeya? Hii ilifichwa bila shaka, ingawa siamini iwapo inawezekana kufichwa! Hebu someni sehemu hii ya makala ya Tegambwage katika Mwanahalisi ya leo:
  [/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]……Lakini nani angependa, wakati huu, kusikia kwa kina na kwa kipindi kirefu kwa mfano, simulizi juu ya Jakaya Kikwete na mke au wake zake; au malumbano kati ya mke mdogo na mkubwa; nyumba ndogo na ahadi za pembeni, kama zipo?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Katikati ya tuhuma za ukwapuaji mabilioni ya shilingi kutoka Hazina na Benki Kuu kwa kutumia makampuni ya kitapeli kama Kagoda Agriculture Limited, nani anategemea wananchi wawe na hamu kubwa ya kusikia uvumi kuwa rais wao ameishiwa nguvu tena na kudoindoka huko Sengerema na Mbeya?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hii haina maana kuwa hayo hayastahili kufahamika; bali vipaumbele vya wakati uliopo vinalazimu hayo yatajwe na kuachwa ili akili na nguvu za wananchi vielekezwe katika kupagania uhuru, haki na ustawi wa jamii zao na mustakabali wa taifa.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Lakini mkuki kwa nguruwa, kwa binadamu mchungu. Mapema mwaka huu mhariri na mwandishi wa Mwanahalisi waliitwa mara tatu kwa Msajili wa Magazeti (MAELEZO) kuhojiwa kwa nini wanaandika makala “juu sa Salma Kikwete,” mke wa rais.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Haifahamiki iwapo rais anajua malalamiko hayo, kwani makala zenyewe hazikuwa zinachimba usichana, umama au biashara za mke wa rais. Zilikuwa zikijadili nafasi ya mke wa rais (yeyote yule kwa mifano ya Marekani, Zimbabwe, Kenya na Tanzania) katika mustakabali wa taifa.Bali MAELEZO waliamuru makala zisitishwe kwa madai kuwa “mama amelalamika.” Jee, leo Dk Slaa hajalalamika?.......[/FONT]
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kabisa hili wala sishangai! Muungwana mgonjwa sana tu!
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Dr Slaa yeye sio binadamu wala hawezi lalamia ila wao (CCM) ndio binadamu wanaweza kulalamika na kusikilizwa. Wahenga walisema "Mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchungu" ama ule wimbo wa mjomba Mrisho Mpoto alipofika mjini baada ya kupata nauli ndio hayo ukimkanyaja tu........
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,586
  Likes Received: 4,693
  Trophy Points: 280
  Muungwana keshakuwa gari bovu spana mkononi.Kabakia kuuza sura tu lakini afya ina mgogoro mkubwa saaana
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  That is that - JK anahitaji uangalizi wa Madaktari kama alivyokuwa Pop Star Michael Jackson (RIP)!
   
 6. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Natoa wito kwa watanzania KWAMBA tumsaidie raisi wetu kwa njia ya kumnyima kura hapo tarehe 31 october 2010 ili apate muda wa kutosha wa kupumzika na wa kusikilizia afya yake kwani nchi yetu ina mambo na matatizo mengi sana yanayopaswa kusimamiwa na kushughulikiwa na rais mwenye nguvu na afya njema
   
 7. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  afya yake inafahamika siku nyingi kuwa ni mbovu tatizo wabongo mnamng'anga'nia,si mnakumbuka nigeria? yaliyomkumba rais wao.
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Waache hao CCM waendelee kuwasha kibatali bila kuongezza mafuta. Watu tumejaribu kuwasaidia kuwastua kuwa mafuta yamebaki kiduchu lakini hawasikii. Sasa kikizimika kabisa watatuambia nini? Huo ndo mwanzo wa kwenda kuficha mgonjwa asiye hai nje ya nchi kwa gharama kubwa za walipa kodi (kama ilivyotokea Zambia) ili waweze kuweka vizuri drama zao. Hii michezo yao lazima itatuingiza gharama kubwa huko mbele ya safari (ingawa hadi sasa tunalipa hizo gharama). Ipo siku mikanda yote inayofichwa aitawekwa hadharani!
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  hivi hii haikutangazwa eee! ni kweli jamaa alidondoka huko sengerema

  hawakusema yule jamaa ni mgonjwa sana
   
 10. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,497
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo inakuwaje? Maana naona hata mgombea mwenza wake naye kachoka kwelikweli??
   
 11. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  anaumwa nini mkuu?????
   
 12. Mathias

  Mathias Senior Member

  #12
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi wakuu
  Wanasema muungwana anaumwa lakini anaumwa nini? Kama kuna mtu anajua anachoumwa asema tu wazi, manake mficha magonjwa maradhi umuumbua. Kwa upande mwingine kila binadamu anaweza kuugua kwa wakati wowote, ishu hapa ni kama ana magonjwa ya muda mrefu au ilikuwa kuishiwa sukari tu.
   
 13. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Ugonjwa wa kudondokadondoka hovyohovyo na macho kupindukapinduka kama degedege vile!
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  Au tumpeleke st thomas london?......................kunahabari kuwa alianguka huko pia............hii tu inamdiscolify kuwa presidential candidate........aache nchi8 kwa watu strong km akina dr.slaa.
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,586
  Likes Received: 4,693
  Trophy Points: 280
  KUISHIWA KINGA YA MWILI aka NGOMA
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo anaumwa malaria kali?
   
 17. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Katika hili naanza kutilia shaka pia uwezo wake kiaakili kama anaweza kufanya maamuzi sahihi! Tunaweza kuwa tunaona smiling face kumbe ni picha tu!
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  tehe....tehe............te...te....teeeeeeeeeeeeee......kwa hiyo unamaanisha tuna rais mdoli?
   
 19. k

  kiparah JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Du! Kumbe nilikua sijui!
   
 20. J

  Jafar JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Madaktari walishasema kwamba "anatakiwa kupumzika", yaani hata uraisi aachie ngazi - lakini CCM bado wanamtembeza mpaka anaanguka anguka. Hofu yangu gharama za uchaguzi zitaongezeka pale kwa kujua kabisa jamaa anaumwa na tukafanya uchaguzi wa Rais kabla ya kipindi kingine.

  Kumsaidia Chagua CHADEMA - ili muungwana apate "honorary exit"
   
Loading...