JK akiwa Taifa kumshuhudia Rooney mubashara!!

JK akiwa Taifa kumshuhudia Rooney mubashara!!

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,059
Wakati jamaa kajichimbia Chattle, JK alikuwa zake Taifa akisafisha macho yake!

Mzee JK fursa zikitokea huzitumia vema!
9abc99a4349786590608c827454721ec.jpg
 
rais. aliwakilishwa na makamu wa raisi huu upumbavu wa kusema mtu alikua sehemu fulani mtaachaga lini??mnampangia mtu awe mahali fulani kwani ni lazima
 
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete , ulifnaya kila namna ili Taifa hili lisonge mbele!!!!! Long Life Mr President JMK.
 
rais. aliwakilishwa na makamu wa raisi huu upumbavu wa kusema mtu alikua sehemu fulani mtaachaga lini??mnampangia mtu awe mahali fulani kwani ni lazima
Tuma salamu kwa watu watatu!
 
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete , ulifnaya kila namna ili Taifa hili lisonge mbele!!!!! Long Life Mr President JMK.
Alijitahid sana kutangaza kuwa tz ni masikini na wote ni akina matonya. Ikampa sababu ya kuzurura ulimwenguni kote kuomba eti kwa ajili ya watz kumbe tumbo lake na familia yake.
 
Back
Top Bottom