Jk akiomba atutawale kipindi kingine cha 3

MMBEYA SHANGAZI YAKO KABLA SIJASAHAU..........hivi uko dunia yangapi kengemaji wewe..huoni au hujasikia vituko vya RAIS WADE wa Senegal anayegombea kwa mara ya 3 kwa kisingizio cha katiba mpya......tupe maoni yako kuwa utafanyeje ikitokea hali kama hiyo...


Mimi najaribu kuwazindua tu kuhusu uwezekano wa kitu kama hicho kutokea hapa TZ

Unanilazimisha nitoe maoni gani wakati inajulikana kabisa katiba hairuhusu? narudia kukwambia tena acha umbeya na sidanganyiki kupoteza muda wangu kuchangia kitu ambacho ni fikra njozi zako.
 
Kama JK anefanya vizuri zaidi juliko narais wakiomtangulia kuna ubata gani kwa yeye juongezewa kipindi kingine ili akamilishe mipango yake mbalimbali?
 
Hivi mnajihesabu kwny mataifa yenye marais!. Sijawahi ona selikali inayo pingana yenyewe kwa yenyewe.
 
Back
Top Bottom