JK: Akili za Kuambiwa, Changanya na za kwako!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Ndugu wana JF, nadhani mmepata kumsikia ndugu mheshimiwa sana bwana Jk akipata kunena hayo, Binafsi sijamwelewa haswa anamaanisha nini na kwa upande wake hutumiaje hayo atakayo sisi tuyashike ktk undendaji kazi na shughuri zake za kila siku? Je amepata kuwaambia maneno haya wafuasi wake wa karibu na wanachama wa chama chake? Binafsi simuelewi, Ananichanganya sana!
 
teh! Nadhani hili somo lingeanzia ccm! Kwa wanachama wake!
 
kama humuelewi sikiliza hiyo hotuba tena.
Ndugu wana JF, nadhani mmepata kumsikia ndugu mheshimiwa sana bwana Jk akipata kunena hayo, Binafsi sijamwelewa haswa anamaanisha nini na kwa upande wake hutumiaje hayo atakayo sisi tuyashike ktk undendaji kazi na shughuri zake za kila siku? Je amepata kuwaambia maneno haya wafuasi wake wa karibu na wanachama wa chama chake? Binafsi simuelewi, Ananichanganya sana!
 
kwa nini hujamuelewa? kama hujaelewa muulize ili arudie tena kuongea, upo hapo?
Ndugu wana JF, nadhani mmepata kumsikia ndugu mheshimiwa sana bwana Jk akipata kunena hayo, Binafsi sijamwelewa haswa anamaanisha nini na kwa upande wake hutumiaje hayo atakayo sisi tuyashike ktk undendaji kazi na shughuri zake za kila siku? Je amepata kuwaambia maneno haya wafuasi wake wa karibu na wanachama wa chama chake? Binafsi simuelewi, Ananichanganya sana!
 
Mkuu usipate shida sana kumuelewa huyo play boy............. ni mmoja kati ya wale wapumbavu wachache wanaosema fuata maneno yangu usifate matendo yangu............ in short ni kwamba, he doesn't parctice what he preaches.................
 
Hivi, ule ukuta wa mabati pale jangwanii aliotoa amri uvunjwe, siku anazindua ujenzi wa barabara ya mwenge tegeta mbona, hata haujaguswa? Si alisema hataki kufikis sehemu ya kwenda kuuvunja mwenyewe? kwa hili, nalo lahitaji kujivua gamba!
 
kutokumwelewa kwangu huyu ni pamoja na kutoelewa matendo yake, maneno na vitendo haviendani!
 
Back
Top Bottom