Ni vigumu kwa Lipumba kuingia, kwa sababu si mbunge. Na hata akiteuliwa kuwa mbunge it means Bunge la dharura liitishwe ili aapishwe (ubadhirifu wa pesa posho kwa wabunge wote). Ni vigumu,, ongeleeni watu wengine
Ungesoma post zote wala usingeshangaa, niliwaambia jana kuwa JK alikuwa na shughuli nyingine na wanahabari leo wala sio kama mtoa thread alivyotaka kutufikirisha kuhusu cabinet