JK Aikana Sera ya Maisha Bora kwa Kila M-TZ

Not admitting fault is like the 1st commandment for being a "good politician". Hakuna mwanasiasa anaye kubali kosa. Lazima atafute jinsi ya ku-suga coat. Lets not forget that JK is 1st and for most a politician.

He indeed is, only that he's among the worst.
 
Wakuu zangu, ukisoma maelezo yake ni kwamba JK ameikana ahadi yake..Swala halikuwa ahadi hiyo ilikuwepo toka lini kwa sababu hakuna sera duniani unayoweza kuivumbua wewe ikakubalika kwa wananchi ambao hawafahamu lini na wapi iliweza kutumika..Hata huyo Nyerere mwenyewe aliikuta sera ya Maisha bora ikitumiwa nchi nyinginezo..Muhimu ni ahadi yako ktk kupanga priority zako ktk uongozi na ndicho alichotuahidi wananchi..

Majibu ya JK ni ya kihuni kabisa, huwezi kuwaahidi wananchi MAISHA BORA kama Kipaumbele cha sera zako kisha ukaikana kuwa sii sera yako hali umeitumia sera hiyo kama kipaumbele kujipatia kura za wananchi. Kila ahadi aloweka anaanza kuzikana kihuni kihuni sasa nambieni ni sera ipi aloitunga yeye maanake hizo ahadi zimekuwa sii zake, zake yeye ni zipi?
Huu ni uhuni anatuletea hapa,mara ILANiya CCM hajashiriki kuiandaaa mara MAISHA BORA kwa kila mtanzania sio sera yake ,asituchezee kabisa this time we will corner him we need serious answers to issues like these sio anatupa majibu ya ngomani hapa
 
kama ilikuwa dormant nani alimuambia ai activate...


Hapo ndo swali linapokuja,nani alimtuma ai-activate? Yaani naungana nawe mkuu Kigogo kuuliza hilo swali,kabla ya hapo hatukua tunajua kuwa kuna kauli kama hiyo,hakukua na sababu ya kutuletea kauli mbiu zisizo kuwa na mantiki wala utekelezaji wa aina yoyote ile angepiga zake kimya.
 
asituchezee hapa ..we are tired na ujinga ujinga huu..kama ilikuwa dormant nani alimuambia ai activate...halafu ndo kuna mtu anasema Jk ni miongoni mwa marais bora duniani....

Wala hapo huhitaji kuumiza kichwa, hiyo ni njia ya Huyu jamaa JK kujitoa na hivo kutaka kuonekana kama machapakazi.
Na hapa naomba niseme hii sera haikuwapo ila kainisha yeye na wapambe wake ili achukue tu ikulu, swala la tangu Enzi za Nyerere ni kutaka kujisafisha ka ni Enzi hizo mbona kazi zilikuwazinafanyika kivitendo na leo hii ni poroja tu
 
Back
Top Bottom