Hakika! Mimi si mfanyakazi wala mwanachama wa chama cha wafanyakazi, ila dalili zaonyesha mamluki anataka kupenyezwa shtukeni basi. Mgaya anaweza,anafaa.
acha uvivu wa kufikiri kijana! aliyekuwa udsm 2002-2006 ni mnyeti, lakini pia akiwa mwaka wa tatu alichukua fomu kuwania uspika wa bunge la jamhuri, akichuana na akina sitta na msekwa! umeelewa sasa?
Inlfuence aliyonayo Mgaya ni kubwa sana kwa watanzania JK anacheza tu na huyo mkimbiza koroboi wake, Wabongo sshiv akili zinafanya kazi sijui atumie profile gani huyo bwana! Wampe waone kila JK akisema hapingwi