hapo ni kama anamuambai wewe jamaa bana nasikia ofisi yako inanuka mavvi bhana hadi kule JF wamekurusha bana
JK AELEKEA UINGEREZA LEO KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadick muda mfupi kabla ya kuondoka nchini leo asubuhi kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi.(picha na Freddy Maro).
Kazi kama hizi!
ziara ya kikazi!
Tanzania on sale
Mwambie alegeze masharti atupe msaada tupo hoi sanaJK msalimie CAMERON
Mwambie alegeze masharti atupe msaada tupo hoi sana