JK aazime busara hii!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aazime busara hii!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyambala, Oct 24, 2010.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi karibuni kumeibuka shutuma nzito kuhusu udini kwenye kampeni za uchaguzi. Hali iliyopelekea JK kuishutumu moja kwa moja CHADEMA akiwa Lindi kwamba wanaeneza udini na ukabila.

  Kwa mashabiki wake na walio karibu naye wampe hii line labda itamsaidia kujipambanua. Pls see the clip:

  YouTube - Obama To Letterman: "I Was Black Before The Election"
   
 2. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Inahitaji upeo mkubwa wa kutowasema wenzako vibaya hata kwenye vinyang'anyiro kama cha urais.

  Uamuzi uwe wa wananchi na sio viongozi walio madarakani... Tujifunze kutoka demokrasi zilizoendelea ..kuwa na busara hata pale tunapoona kwamba hatujahukumiwa(judged) vilivyo kutokana na matendo yetu au sera zetu....na tuwape wananchi haki yao kuamua badala ya kuwatisha kwamba wakiamua kutoa ridhaa kwa wengine watakuwa wanaipeleka nchi kwenye uwagaji damu....
  Tuchukue mifano ya majirani zetu...ukiondoa kenya,uganda na rwanda.. Zambia walimwondoa Kaunda hawakumswaga damu..malawi walimwondoa Muluzi hawakumwaga damu Tutambue kwamba hakuna mwenye hatimiliki ya kutawala isipokuwa wapiga kura.. Mzunguko wa demokrasia hautakamilika iwapo mawazo mapya ya uendeshaji nchi hayatapewa nafasi na MAADILI YA TAIFA KAMA HAKI ZA BINADAMU,UTAWALA BORA ZIKAZINGATIWA NA KILA CHAMA
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  jk anakosea saana but washauli wake nadhani si wazuri na hawaaangalii upepo!
   
Loading...