JK aahidi kutuma wataalamu wa kilimo na wakulima wa zao la nanasi Ghana

Waweza kuta hiyo variety ya nanasi ipo hapa na imefanyiwa utafiti, lakini kwa kuwa hawasomi ripoti na hawafuatilii mambo yanayofanyika nchini hawezi jua kama ipo so anaona ni kitu kipya.
 
Waghana wenyewe walijifunza Cambodia miaka 30 iliyopita. Hivi raisi wetu amesoma shahada ipi ya uchumi?
 
Back
Top Bottom