JK: 1. Ehe jina lako nani? 2. Aiseeeeeeee!

JK: 1. Ehe jina lako nani? 2. Aiseeeeeeee!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
jk(8).jpg

11050771_705579386219705_2577250669366398524_n.jpg
 
Hii ni ziara ya JK kukagua nini?
Watanzania waliojenga holela na kukutwa na mafuriko?
 
anamwambia yule mtoto ukikua nitakupa ukuu wa wilaya
 
Rais angeweza kabisa kutoa maagizo na kumaliza hili suala kwa kuamrisha nyumba hizi zibomolewe watu hawa wahamie kwingine hii kutrmbelea haitaisha manake kila mvua ikija watu watakufa na kutembelewa!!!!
 
Kwa nilichosikia kwenye habari jana ni kuwa serikali/JK atajenga mtaro ili kusaidia maji ya mafuriko eneo hilo yasituame bali yatembee. Na inasemekana baada ya hapo yamefungwa mabomba yakisaidiwa na majenereta makubwa ku-empty maji yaliyotuama.
Kwa maana hiyo JK hana tatizo na ujenzi holele bali kuendelea 'kuuimarisha'. Nilitegemea angewapa offer za viwanja na either kuyapima upya maeneo haya na kuyapa matumizi tofauti.
tatizo letu na viongozi wetu tumekosa vision na mpango mzima ni kula na kulala, yaani mtu akishashiba leo hawazi kesho na akiiwaza basi ni kulimbikiza mali za wizi!

Back
Top Bottom