JJ Mnyika (Mb) hana bei, ni CHADEMA hasa

JJ Mnyika (Mb) hana bei, ni CHADEMA hasa

Kwa maana hiyo Mnyika sasahivi siyo Mkurugenzi wa Mawasiliano tena wa chama bali ni Mwanasheria? Kesi kafungua John Mallya au Mnyika? Zitto, Slaa na Mnyika cdm wamewalazimishia sana matukio ngoja muda c mrefu tutasikia akiitwa msaliti.
 
Najaribu ku-upload video yake kwenye simu nimeshindwa. Nikirudi ofisini ntatumia copmyuta ingawa najua kuna watu wanaweza kutuwekea hapa

Matumizi mabaya ya ofisi ha!ha!
 
Du yaani Hiyo ndio issue ya kujivunia mnyika kuibuka?, kwahiyo Hiyo ndio kazi ya naibu katibu mkuu.
 
Kwa maana hiyo Mnyika sasahivi siyo Mkurugenzi wa Mawasiliano tena wa chama bali ni Mwanasheria? Kesi kafungua John Mallya au Mnyika? Zitto, Slaa na Mnyika cdm wamewalazimishia sana matukio ngoja muda c mrefu tutasikia akiitwa msaliti.
Lete vioja vyenu, msihamishe magoli
 
Du yaani Hiyo ndio issue ya kujivunia mnyika kuibuka?, kwahiyo Hiyo ndio kazi ya naibu katibu mkuu.
Twambieni mlisema atahamia Ccm, mambo ya majukumu yake hayakuhusu
 
Tuletee ushaidi kwamba Mnyika alipinga ujio wa Lowassa vinginevyo acha majungu
Ni lini MNYIKA alifuta kauli yake juu ya LOWASSA pindi bado yupo CCM????....niletee uo uthibitisho wa MNYIKA kufuta hiyo kauli NDIPO useme kwamba MNYIKA anakubaliana na UJIO WA LOWASSA chadema
 
Nawatakia kila la heri chadema ktk kesi yao hii, lakini nina shaka itashindwa hatua za awali ktk Mapingamizi.
Ushauri wangu Tundu Lisu na wenzie watengeneze vizuri hiyo Kesi irudi ktk mahakama zetu aidha mahakama ya Katiba au ifunguliwe Mahakama ya Rufaa, hivi kwa nini Chadema hawapendi kufuata mifano ya walivyofanya wenzao? (Cord Kenya)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom