JJ Mnyika (Mb) hana bei, ni CHADEMA hasa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Siasa ina mashujaa wake. Wanaohimili mikikimikiki ya kila wiki na mambo yao yanatiki. Mbunge John John Mnyika wa Kibamba kwa tiketi ya CHADEMA ni kati ya wanasiasa mashujaa hapa Tanzania. Mnyika hana bei,ni mwanaCHADEMA hasa.

Mnyika aliandamwa kwa lawama na kubanwa kipropaganda. Mnyika alisemwa amekasirika kwenda Lowassa CHADEMA,akawa kimya. Akasemwa anaumwa hata kuchanganyikiwa,akawa kimya. Akasemwa hamkubali Katibu wake Mkuu mpya,Dr. Mashinji,akawa kimya. Akaandikwa na kusemwa kuwa anajiandaa kuhama chama chake,akawa kimya.

Hata hapa Dodoma,alitajwatajwa kama mmoja wa watakaofanyiwa usajili tarehe 23 mwezi huu. Mnyika hajali wala kutikisika. Anaendelea kutekeleza majukumu yake muhimu ya chama chake kwa kusonga mbele kuelekea kwenye kilele. Mnyika si wa kawaida. Hajajibu wala kuyumbishwa na yaliyosemwa. Hana bei. Ni shujaa.

Amenikumbusha mbinu za kuishi Seminarini. Seminari aliyosoma Mnyika imempika. Imempa uhodari mahiri. Ukimya nao ni jibu mujarabu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Subiria matusi kutoka lumumba hapo ingawa upo dodoma lkn watakutukana kama vile wana kuona
 
Ukiona adui anakusufia basi rudi nyuma ujiulize, lkn kama anakusema sema kwa mabaya basi ujue hapo umemtwanga!
By magufuli
 
Safi Sana john.
Hakuna mwanasiasa asiye na bei sema tu hawazibandiki mgongoni.Kuna aliaminika kama Dr wa ukweli hapo ufipa au Professa wa kimataifa pale buguruni leo hii wako wapi.Tupatupa umeshamsahau RIP muasisi wa neno GABACHORI alivyoyumbishwa dakika za lalasalama na bado unawaamini wanasiasa lazima lkuna shida mahali fulani.
 
Hamu ya kuwa katika kitabu cha historia ya Ukombozi wa Taifa ni kubwa kuliko tamaa ambazo wengi hushindwa kuzipangua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom