Huyu kijana anaitwa Yusuph Said, anapatikana maeneo ya Bunju na Mbezi,
Ni tapeli na mwizi. Popote utakopomwona hapa Dar usisite kutupigia kwa namba 0716771673. Huwa anafanya kazi za kuchimba mashimo, hujifanya daktari, na pia hujifanya anamiliki duka la stationary