Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,401
- 4,707
Wanawake hawa wa digitali wana muda huo kweli?,subutuuu!!!Hello Hello WanaJF
Wanaume! Kula hivi
Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi
1.Supu ya maharage
2.Maziwa mtindi
3. Mtori
4. Kitunguu swaumu walau punje 5
5. Asali
6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga
7. Jogging au zoezi la kukimbia
8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu
9. Epuka magonjwa ya kujitakia UTI, Malaria, etc.
10. Kitunguu Maji, tangawizi, hoho
11. Tango ila usile na asali
12. Supu za mboga za majani.
13. Ubora wa afya yako
14. Mapokeo ya Mpenzi wako
15. Mvuto wa mwanamke iwe msambwando, Chuchu, lips, rangi,
Haya yanatosha meal planning kuhusu wanga, protein etc mlipie au watasaidia walokuzaaeni.
Jipende jipende jitunze jitunze
Kwenye mabano ungeandika madhara yake ili kama vinaua mtu asije akaonja11. Tango ila usile na asali
Ndio hivo mkuu katazo ni katazo ukionja at ur own risk r. I. pKwenye mabano ungeandika madhara yake ili kama vinaua mtu asije akaonja
Uongo huoooNdio hivo mkuu katazo ni katazo ukionja at ur own risk r. I. p
Za kwambiwa.....Uongo huooo
Tango ukila mixer asali parapanda inalia.Kwenye mabano ungeandika madhara yake ili kama vinaua mtu asije akaonja
hata ela nazo ni changamotoTafuta hela nguvu zitajileta zenyewe,hayo yote kama huna kitu vice mfukoni ni bure inaweza goma kusimama
Acheni Kutudanganya kwa Maisha ya sasa ukiwa huna Hela na Mawazo kibao ya Kuipata Ufanisi huwa ni 1% tu ila hizo 99% zote hamu hutokuwa nayo na Uume utakuwa Unadinda kwa Kukudanganya tu ila mara nyingi utakuwa Unasinyaa.Hello Hello WanaJF
Wanaume! Kula hivi
Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi
1.Supu ya maharage
2.Maziwa mtindi
3. Mtori
4. Kitunguu swaumu walau punje 5
5. Asali
6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga
7. Jogging au zoezi la kukimbia
8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu
9. Epuka magonjwa ya kujitakia UTI, Malaria, etc.
10. Kitunguu Maji, tangawizi, hoho
11. Tango ila usile na asali
12. Supu za mboga za majani.
13. Ubora wa afya yako
14. Mapokeo ya Mpenzi wako
15. Mvuto wa mwanamke iwe msambwando, Chuchu, lips, rangi,
Haya yanatosha meal planning kuhusu wanga, protein etc mlipie au watasaidia walokuzaaeni.
Jipende jipende jitunze jitunze
Siyo kweli mkuuTango ukila mixer asali parapanda inalia.