Uliponea tundu la sindanoIliwahi nitokea Kijijni kwetu, asubuhi na mapema, najiaandaa kuvaa kiatu, wakati nakung'uta kiatu kama ilivyo ada, Nyoka anatoka ndani ya kiatu ....
Sikumpa nafasi nilichukua fimbo ya Mzee inayokaa nyuma ya Mlango nikampiga hakika pigo langu lilikuwa sawia ...
Nyoka ni Hatari sana ni vizuri kuchukua tahadhari kuwa na mawe kama hayo ndani ya Nyumba...
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio tusaidiane kumshangaa jamaa mmoja anawapigia kampeni nyoka eti tuwapende, tuwafuge kama mbadala wa paka kwamba wanapambana kumaliza wadudu waharibifu akiwemo panya.pole kwa kuliwa na nyoka.. hawa wadudu nawaogopa sana
Ndio shida yakufuga viumbe hao umeshindwa kuwapa kafara yao sio ee.Ndio maana wanataka kukuwahishaNi tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji
Sifahamu vema siri iliyomo kwenye hili jiwe dogo ambalo huwekwa kwenye jeraha bichi linalovuja damu, jeraha litokanalo na kuumwa na nyoka, nge au buibui... Unapoliweka hapo halibanduki mpaka linyonye sumu yote kwenye jeraha na likimaliza kazi hudondoka lenyewe
Likishadondoka unatakiwa kuliweka kwenye maziwa ili nalo kulitoa sumu liliyoinyonya wengine wanaita kulisafisha tayari kwa matumizi tena View attachment 582419View attachment 582420huyo mjamaa hapo juu alining'ata usiku wa kuamkia jana, mida yetu ile..... Saa tisa kasoro! Nilistukia tu maumivu makali sana
Haraka sana nikatafuta tochi kali na kumulika,! Mungu ni mwema nikamkuta ni jamaa anajitahidi kutoroka! Nikamuwahi na kumpa haki yake RIP
NIiliwahi hospital nikapata tiba ya kizungu na mchana wa jana nimeweka hili jiwe ambalo mpaka sasa limeng'ang'ana... Kwahiyo sumu bado ipo
Ni tiba ya ajabu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndio kitu cha ajabu sasa.. Hayo sijui ma kampaundi ya potasiumuNi kwamba lile jiwe la nyoka ni compound ya POTASSIUM PERMANGANATE, ina oxidation state kubwa hivyo kufanya kazi hiyo unapong'atwa na nyoka, Hii kisayansi inafahamika Sana tu, siyo kitu cha ajabu.
Ukiliweka kwenye ncha ya ukimi lisiponasa hilo ni chengaJiwe LA kunyonya sumu ya nyoka.Nasikia kuna mengine sio ni bandia.Je nitalijuaje kama hili ndilo lenyewe? Mshana Jr na mnaofaham nijulisheni.
Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
Tupo wote hapo..! Yaani na uanaume wangu wote..! Nikisikia maeneo haya yana nyoka nahama muda huohuo..! Yaani naogopa nyoka zaidi ya mungu..!hakuna kiumbe nakigopa Kama nyoka, hata nikikuta amekufa mwili hunisisimka.
Scientific studies mbalimbali zimeproof hilo jiwe maaarufu kama black stone' or snake stone' halina uwezo wowote wa kuondoa sumu ya nyoka.Ni tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji