Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,104
- 828,989
Ni tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa wale wa vijijiji
Sifahamu vema siri iliyomo kwenye hili jiwe dogo ambalo huwekwa kwenye jeraha bichi linalovuja damu, jeraha litokanalo na kuumwa na nyoka, nge au buibui... Unapoliweka hapo halibanduki mpaka linyonye sumu yote kwenye jeraha na likimaliza kazi hudondoka lenyewe
Likishadondoka unatakiwa kuliweka kwenye maziwa ili nalo kulitoa sumu liliyoinyonya wengine wanaita kulisafisha tayari kwa matumizi tena
huyo mjamaa hapo juu alining'ata usiku wa kuamkia jana, mida yetu ile..... Saa tisa kasoro! Nilistukia tu maumivu makali sana
Haraka sana nikatafuta tochi kali na kumulika,! Mungu ni mwema nikamkuta ni jamaa anajitahidi kutoroka! Nikamuwahi na kumpa haki yake RIP
NIiliwahi hospital nikapata tiba ya kizungu na mchana wa jana nimeweka hili jiwe ambalo mpaka sasa limeng'ang'ana... Kwahiyo sumu bado ipo
Ni tiba ya ajabu hii
Sent using Jamii Forums mobile app