Jiwe la kupondea viungo jikoni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,275



Kifaa hiki ni kawaida kukikuta kwenye majiko hasa ya wenye nazo. Jiwe hili licha ya kuwa ni urembo mzuri pia hudumu kwa miaka mingi.

Historia inatuonyesha walioanza kutumia jiwe kupondea viungo na dawa walikuwa ni Wamisri wa kale. Baadae Wagiriki pia waliiga utaratibu huu hasa matabibu na wafamasia kupondea dawa.


Nilialikwa harusini nikafunga jiwe hili kama zawadi. Bibi harusi alifurahi sana alinipigia simu na kusema alikuwa analitamani jiwe hili hakutegemea kama litakuwa jikoni kwake. Nilifarijika sana.
 
So mkuu unataka kusema nini?maana ulivyomaliza ni kama utarudi kumalizia tusubiri au ndo umeshamaliza?
 
Mimi vya kwangu viwili ila sijabatika yaani michi yote imevunjika ikianguka tu kwa nguvu inakatika katikati apa nataka nkanunue kengine .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…