Jiwe kubwa lapita karibu na Dunia

Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,043
Likes
538
Points
280
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,043 538 280
Source: Jiwe kubwa lapita karibu na Dunia

Jiwe kubwa lapita karibu na Dunia

Asteroidi kubwa ambayo inakadiriwa kuwa na ukubwa karibu sawa na wa wa Jiwe la Gibraltar imepita salama karibu an Dunia.

Asteroidi hiyo ambayo inakadiriwa kuwa na kipenyo cha karibu kilomita moja, ilipita karibu na dunia umbali wa mara tano hivi umbali kati ya Dunia na Mwezi.

Jiwe hilo ambalo limepewa jina 2014 JO25, ndilo kubwa zaidi kupita karibu na dunia tangu 2004.

Wataalamu wa anga za juu walisema fursa nzuri zaidi ya kutazama asteroidi hiyo angani itatokea Jumatano usiku.

Picha za mitambo ya rada zilizopigwa kwa kutumia antena ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) iliyo na urefu wa 70m (230 ft) katika kituo chake California zilionesha kwamba jiwe hilo lenye umbo la njugu linazunguka mara moja kila baada ya saa tano.Inakadiriwa kwamba jiwe jingine kupita karibu na dunia itakuwa mwaka 2027 pale asteroidi ya kipenyo cha karibu mita 800 (nusu maili) iliyopewa jina 1999 AN10 itapita karibu na dunia umbali sawa na wa mwezi kutoka kwa Dunia, takriban 380,000 km (maili 236,000 ).
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,294
Likes
9,211
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,294 9,211 280
kimsboy, Ayatollah anatoa mwongozo gani kuhusu mambo haya ya kikafir?
 
Cannabis

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
1,038
Likes
2,189
Points
280
Cannabis

Cannabis

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
1,038 2,189 280
Yani nikisikia jiwe nawaza lile ambalo lipo pale magogoni na halitaki kuhamia kule kwa wagogo.
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,313
Likes
1,569
Points
280
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,313 1,569 280
Source: Jiwe kubwa lapita karibu na Dunia

Jiwe kubwa lapita karibu na Dunia

Asteroidi kubwa ambayo inakadiriwa kuwa na ukubwa karibu sawa na wa wa Jiwe la Gibraltar imepita salama karibu an Dunia.

Asteroidi hiyo ambayo inakadiriwa kuwa na kipenyo cha karibu kilomita moja, ilipita karibu na dunia umbali wa mara tano hivi umbali kati ya Dunia na Mwezi.

Jiwe hilo ambalo limepewa jina 2014 JO25, ndilo kubwa zaidi kupita karibu na dunia tangu 2004.

Wataalamu wa anga za juu walisema fursa nzuri zaidi ya kutazama asteroidi hiyo angani itatokea Jumatano usiku.

Picha za mitambo ya rada zilizopigwa kwa kutumia antena ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) iliyo na urefu wa 70m (230 ft) katika kituo chake California zilionesha kwamba jiwe hilo lenye umbo la njugu linazunguka mara moja kila baada ya saa tano.Inakadiriwa kwamba jiwe jingine kupita karibu na dunia itakuwa mwaka 2027 pale asteroidi ya kipenyo cha karibu mita 800 (nusu maili) iliyopewa jina 1999 AN10 itapita karibu na dunia umbali sawa na wa mwezi kutoka kwa Dunia, takriban 380,000 km (maili 236,000 ).
Hizo story za NASA hazinaga ukweli, anyway ngoja tukubali tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,886
Members 481,523
Posts 29,749,609