Jiulize maswali Haya kabla ya kuchangia pesa ya Covid-19

Bado sijasahau rambirambi za Lucky Vincent na tetemeko la Kagera na kauli za namba one kuhusu mafuriko ya lindi.
Hiyo pesa kuliko kuchanga nitawanunulia stock ya chakula ndugu zangu na wasiojiweza.
Hii serikali haina sifa ya kuchangiwa.
1. Imeshaonesha udhulumaji mara nyingi.
2. Huwa inajitapa kuwa ina pesa nyingi.
3. Haijaainisha matumizi yake.
4. Ni jukumu lake kuhudumia wananchi wake
Mengine mtaongezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom