Jitu zima Ovyoo!

Jamani haya mambo mengine hata hayafai kuzungumziwa hapa. Hivi huyu mzee mzima munamuadhirisha namna hii maana yake nini? Kama amepitikiwa kama mwanadamu mwengine ndiyo mumuadhirishe namna hii?

Bwana Moderator tafadhali ondoa hii, leo yeye kesho anaweza kuwa mzee wako utakubali haya?
 
kweli maadili yamepungua au kwisha kabisa, mpigapicha badala ya kumwambia afungue kwanza fliz yake ndo apige picha, yeye anapiga ivo ivo!
 
inawezekana ana frustrations na kesi yake ya kutumia madaraka vibaya au inawezekana ametoka kula kitu roho inapenda
 
Jamani haya mambo mengine hata hayafai kuzungumziwa hapa. Hivi huyu mzee mzima munamuadhirisha namna hii maana yake nini? Kama amepitikiwa kama mwanadamu mwengine ndiyo mumuadhirishe namna hii?

Bwana Moderator tafadhali ondoa hii, leo yeye kesho anaweza kuwa mzee wako utakubali haya?

kweli maadili yamepungua au kwisha kabisa, mpigapicha badala ya kumwambia afungue kwanza fliz yake ndo apige picha, yeye anapiga ivo ivo!

Nakubaliana nanyi kabisa. Hata kama ana makosa mbeye ya jamii ya watanzania lakini bado anastahili heshima yake kama baba. Tujifunze kutoa changamoto pale mtu anapokuwa na makosa na linapofika suala la heshima tuwaheshimu wakubwa ambao ni sawa na baba zetu.
 
Back
Top Bottom