Jitoe Ufahamu, Uinjoi Mapenzi...

Yaani wewe ni kama mimi tu mimi hauwezi niambia eti hii ni juisi wakati mimi naona kabisa kuwa ni pombe halafu ukategemea nikubali tu eti kisa mapenzi nefwaaa! Hata mimi mwenyewe najua kuwa huo ndiyo ukweli lakini siko tayari kuuapply aisee!

Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Ni ngumu Sana Kama unajielewa aisee
 
Mkuu kp umekiona kwa wife hadi usisitize watoto wasirudie makosa yako?
Alimkumbuka alomtoa bikra mkuu bila ya kutumia njia za kijasusi tayari alishaliwa ,ila niliwahi chezo nilihack cm yake bila kujua kabla mambo hayajaiva nikaharibu, saivi naishi nae kma mfanya kazi wangu wa kulea watoto ndio alivyonishauri mzee mmoja hivi baada kumpa story.
 
Usiombe kupendwa na Boss mwanamke km Admisstress af akakufanya mchepuko na game ikakubali weee!! jmn km hujaoa hutaoa tena..

Kwanza hawapigwi pigwi hovyo, sababu ya wadhifa wao!! ivo inakuwa mnato!! ukijidanganya ukapiga pande, pale kwa jimama utarudi tu!!
Pili wana hela za kufa mtu!! asikwambie mtu wa mama watu wazima wenye watoto rika lako ni watamu jamani khaaa!

Tatu michongo mingi!!! sasa wewe mvuruge akuvuruge uone!!!

Halafu wanakuonyesha njia ya mafanikio na ulinzi!!! pia jinsi wanawake walivyo makatili!! Mke wako kamwe hakupigi limbwata ng'oo! ukitaka ulinzi wa Mapenzi ewe kijana wa kiume basi, chagua jimama! hili litajua mpaka mganga wa mkeo! na Dawa zote anazochukua ajili ya kukufanyia! na tarehe! ataenda pia hukohuko kwa mgnga wake!

Ukitaka kufunguliwa na malimbwata uliyo lishwa na mkeo! tafuta mchepuko jimama litakulinda mpaka ulie poo!! usichukue hivi vidogo vidogo mnavolingana umri eti unajifanya wa kisasa nooooo!
 
Aisee!
 
Kiben10 na marioo ktk ubora wako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ