Jitibu mafua kwa kutumia sigara.

Jitibu mafua kwa kutumia sigara.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,905
Reaction score
31,686
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye nimegundua kuwa sigara inaponesha kabisa mafua hasa yale mafua yanayochuluzika.

Unatakiwa ukiwa unavuta sigara utoe moshi mwingi puani,,huo moshi ukiwa unatoka unaenda kukausha unyevunyevu uliopo puani.

Wingi wa idadi ya sigara unazotakiwa kuvuta utategemea wingi wa hayo mafua.
 
Ngoja tuwasikilize wavutaji wa sigara wanasemaje kuhusu hili,
Wanaumwaga mafua au lah. Ntarudi

Ujana haubagui.
 
Hii njia ni ya haraka zaidi na nafuu,mimi naitumiaga mara kwa mara nikiumwa mafua
 
ONYO

UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye nimegundua kuwa sigara inaponesha kabisa mafua hasa yale mafua yanayochuluzika.

Unatakiwa ukiwa unavuta sigara utoe moshi mwingi puani,,huo moshi ukiwa unatoka unaenda kukausha unyevunyevu uliopo puani.

Wingi wa idadi ya sigara unazotakiwa kuvuta utategemea wingi wa hayo mafua.
Imani Yako Mpya Ndivyo Ilivyokutuma Kuwadanganya Watu Naona Unatekeleza Masharti Kimya Kimya Kupitia Uzi wako Haya Wavute Waje Weng

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom