Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,784
- 11,802
Imekua juice,tafuta kinu utwange
Kuna vile vibrander vidogo vya viungo so nahisi ni sawa
Imekua juice,tafuta kinu utwange
asante mamy
Nikisaga na Blender ni sawa ?
Mimi vile vya unga vinavyouzwa kabisa sivipendi, ukipikia pilau hata halinogi....
Ila me nlikuwa sichanganyi na pilipili manga na karafuu..next time ntachanganya nione inakuwaje...
Shukran sana dia wangu, nitafanya hivyo over the weekend. Uwe na wakati mzuri.
Nzuri sana.....
Hata vya chai huwa bomba sana,, hakuna haja ya majan ya chai
Asante. Mimi pia napenda viungo vya kuchanganya mwenyewe kama hivi badala ya kununua vilivyosagwa kabisa ambavyo kwanza unakuwa hujui vimechanganywa vipi na ni vya muda gani.
Jaribu my dear utapenda.....
Imekua juice,tafuta kinu utwange
Imekua juice,tafuta kinu utwange
Najaribu leo leo katika mlo wa jioni.....yani siku hizi umenipa jeuri hatari, nikitaka kupika kwanza nasearch recipe zako humu...basi home wanaona maajabuu...manake kuna kipindi nlikuwa nawalisha masotojo hadi baba akasema ataniozesha buree bila mahari....
Siku hizi wananikomajee....Mola akulipe Kheri kwa kushare maujuzi...
Hahahahahaha umenichekesha mwari wangu.... ahsante sana
Somo..kumbe nlikuwa nakosa raha...nilikuwa nikipika pilau naweka bizari ya pilau na mdalasini basi...ila hili la leo limekuwa tamu, linanukiaa....
Nimeombwa kesho nirudie...hahahaaa ..
Haswaaaaa, kama mimi sipendi karafuu.
asante mamy
Nikisaga na Blender ni sawa ?
nawe umekariri, blender nyengine zinatoka na kimoja tu. Lolumenichekeshaa...lol
ukisaga na blender itabidi uweke na maji, blender huaga na vifaa vyengine viwili vidogodogo ndo vile unasagia
nawe umekariri, blender nyengine zinatoka na kimoja tu. Lol