Jitathimini mwenyewe katika mitandao ya kijamii

Jitathimini mwenyewe katika mitandao ya kijamii

Wabongo bhana sasa wewe hiki ulichoandika humu unajiona uko sahihi!!!?
Watu wanafanya vile kuwapa wengine chachu ya kufanya vitu hivyo
Na kuhusu kuitumia mitandao kujielimisha: iko hivi mm napost picha ya ndinga yangu ambayo nimeagiza kutoka japana lkn wakati huo huo kuna rafiki yangu anataka kuagiza gari lakini hajui aanzie wapi pengine kwa kuhofia kuibiwa kupitia post yangu ya gari atapata ufafanuzi na elimu ya kutosha kutoka kwangu na hivyo ataagiza gari bila hofu
 
tehe !!! uko sawa ila nia/malengo huwa yanatofautiana : kuna anayetupia picha kwa ajili ya kupata rafiki na kuna anayetupia picha kwa ajili ya kuji show off / kujionesha kwa ajili ya kupata misifa.
Unajuaje hii ni picha ya kujishow off na hii siyo?
 
Back
Top Bottom