Jitambue.........

Jitambue.........

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,644
Wakuu, kama mnakumbuka miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa mwaka 2008 kulikuwa na gazeti lilikuwa linatoka kila Jumatano na lilikuwa linaitwa JITAMBUE na mmiliki wake kama sikosei alikuwa MUNGA TEHENAN.

Hivi kwa wanaofahamu na wale waliokuwa wafuatiliaji wazuri what hapened to this company? Yaa hakuna gazeti nililolipenda kama hili lilitufanya tulio wengi tujitambue kweli. Baada ya kifo cha Tehenan sikusikia chochote hadi leo.

Mwenye data zaidi aziweke hadharani hapa please!
 
kama mkimpata Babalao atakua anajua zaidi. He was a member Jitambue Family.
 
Back
Top Bottom