Chukua pepsi kwa Mangi hapoMbona Paulo aliweza ,eliya ,aliweza ,Pythagoras aliweza
Mimi nahisi ni matazamo tunaishi kwa mitazamo tu na usilazimishe mtazamo wako uwe sawa wa wengine
Lakini kwamimi naweza kusema inawezekana na wewe unaweza kusema haiwezekani na Wote tukawa Sawa kutana na sababu zetu sote
U single una madhara yake ila kwa sasa hutayaona. Siku ambayo umezidiwa ndani na huna wa kukusaidia ndio utajua kwamba hujui.Hivi mkuu, unajua kuna mtu muda huu anabembeleza bebe kisa tu jana alilala bila kusema good night, au ilipigwa simu akupoke?
Wakati sisi single tuna enjoy tu bila lawama na mtu.
Mi nataka kuwa na ww... HahahaUsitutishe bwana we!!
Mbona Paulo aliweza ,eliya ,aliweza ,Pythagoras aliweza
Mimi nahisi ni matazamo tunaishi kwa mitazamo tu na usilazimishe mtazamo wako uwe sawa wa wengine
Lakini kwamimi naweza kusema inawezekana na wewe unaweza kusema haiwezekani na Wote tukawa Sawa kutana na sababu zetu sote
Walioko kwenye ndoa hawafi? Wengine wameuana juzi kimara hapoMwisho wa siku unakuja kufa kwa msongo wa mawazo maana huna mtu wa karibu zaidi kimahusiano wa kukusaidia
Kwamba Paulo hata kabla hajawa mtume hakuwahi kuwa na mwanamke?Hao kina Paulo na Elia hawakuweza Bali waliwezeshwa na Mungu mwenyewe kwa maana waliumbiwa hali ya kuwa matowashi tangu tumboni kwa Mama zao,
Hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake kwenye
Mathayo 19:10-12
Kwenye Biblia haijaandikwa,,,,
Sawa mkuu, ila hizi headaches zisubiri kwanzaU single una madhara yake ila kwa sasa hutayaona. Siku ambayo umezidiwa ndani na huna wa kukusaidia ndio utajua kwamba hujui.
Hasa katika age za 60's and above ambapo wengi wetu huwa miili ishatepeta. Nilikuwa na dingi yangu mkubwa mbabe kishenzi. Ukimuona sahivi alivyotepeta huwezi amini ndio yule ambaye mkisikia gari yake inashuka tu mnakimbilia vyumbani kutafuta mdaftari yalipo.
Hiyo ndio ilikuwa point yanguKwenye Biblia haijaandikwa,,,,
Ila Paulo kitaaluma alikuwa Farisayo, msomi wa Sheria ya Kiyahudi na alikuwa hana mke..
Inawezekana kabla hajakutana na Yesu alikuwa mzinzi japo kwa siri, ila hakuna anayejua kwa maana Kwa cheo chake cha Farisayo alikuwa anasimamia sheria na kutoa adhabu Kali kwa wanaokiuka torati kama vile Wazinzi, Wezi, nk.
Ila historia yake ya kimahusiano kabla ya Kuwa Mtume haijaandikwa..
Baada ya kuwa Mtume tunajua hakuoa mpaka kufa kwake.
Asante kwa andikoJitahidi sana kwenye maisha yako uwe na mwanaume/mwanamke wako pale ukitaka kuwa na familia, kamwe usikubali kuambiwa kuwa peke yako unaweza hamna hicho kitu na ndio maana hata kwenye kuumbwa Mungu aliumba Adam na Hawa na sio mmoja tu atoshe kuwa sawa kwa wote.