Jitahidi kuwa mstaarabu kwenye daladala

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa kubambia kuna watu mpaka daladala ijae hedi kukosekane kwa kusimama mtu ndio anapanda hiyo
 
labda za mwendo kasi .. hizi za mbagala huku kwana unansimamia mguu mmoja lazima ugusane tu hakuna namna
 
Mama mmoja aliwahi kujilengesha kwa goti langu akawa anasugulisha pale baada ya muda nikasikia unyevu looh, jamaa akasimama nilipata shida sana kumtuliza aache hasira yaishe.
Ahahahha ahaha
 
Duh ulikuwa umesimama au umekaaaaa
 
Unafikiri wengine wanapenda kuwasogelea wenzao o distance.
Daladala zetu ndo zinapelekea watu mnajazana hata kugeuka huwezi,unabanwa hata pa kujisogeza hakuna.
Ila kuna wengine haka kamchezo ni tabia zao wanakapenda kweli.
Nashukuru huku nilipo hakuna hiyo tabu
 
Mama mmoja aliwahi kujilengesha kwa goti langu akawa anasugulisha pale baada ya muda nikasikia unyevu looh, jamaa akasimama nilipata shida sana kumtuliza aache hasira yaishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bwana
 
Dah....mie nikijisikia boad nadandia mwendo Kasi la Kimara mida ya jioni [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mama mmoja aliwahi kujilengesha kwa goti langu akawa anasugulisha pale baada ya muda nikasikia unyevu looh, jamaa akasimama nilipata shida sana kumtuliza aache hasira yaishe.
Kwanini alisimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…