Jisajili kama unatafuta kazi

Jisajili kama unatafuta kazi

Ukishatuma anakuambia umtumie na ela ya mchakato..
 
Haya wakuu solidarity recruitment agency inawataarifu kuanzia sasa kwamba mwenye professional yoyote ili kuanzia ngazi ya cheti atume majina yake kamili,namba ya simu,kama alishawahi kufanya kazi aseme wapi,umri wake,angependa kufanya kazi sekta gani labda hotel.viwandani.biashara.ujenzi.hospital etc, wadhamini wawili na namba zao za simu kama wanafanyakazi weka na vyeo vyao,kama unaudhoefu ni kwa mda gani .Tuma kwenye namba hii 0755914955
Hii post ina miaka mi4 apa, embu tupunguze ukali wa maneno na malalamishi jamani... inawezekana kwa kipindi hicho ilisaidia watu fulani walioiona... alieiibua 2017 hii bila hata kueleza kua ni ya 2014... hajatumia busara...... pole Hope.
 
HATA HYO NO. KWASASA SIITUMII WATZ ni shida sana sjui nani mjinga kati yng na nyie mnaokurupuka bila kusoma thread ina muda gani.
 
Haya wakuu solidarity recruitment agency inawataarifu kuanzia sasa kwamba mwenye professional yoyote ili kuanzia ngazi ya cheti atume majina yake kamili,namba ya simu,kama alishawahi kufanya kazi aseme wapi,umri wake,angependa kufanya kazi sekta gani labda hotel.viwandani.biashara.ujenzi.hospital etc, wadhamini wawili na namba zao za simu kama wanafanyakazi weka na vyeo vyao,kama unaudhoefu ni kwa mda gani .Tuma kwenye namba hii 0755914955
kama huna fani mkuu
 
Heee CV kwenye namba ya sim, mungu waaaaaaangu tumeishaaaaaa
 
HATA HYO NO. KWASASA SIITUMII WATZ ni shida sana sjui nani mjinga kati yng na nyie mnaokurupuka bila kusoma thread ina muda gani.
Mkuu watu wanafufua vilivyokufa wasamehe bure

Baba Jessica unaliona hili...
Hali tetete
DAB
 
Back
Top Bottom