EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,116
Haya wakuu solidarity recruitment agency inawataarifu kuanzia sasa kwamba mwenye professional yoyote ili kuanzia ngazi ya cheti atume majina yake kamili,namba ya simu,kama alishawahi kufanya kazi aseme wapi,umri wake,angependa kufanya kazi sekta gani labda hotel.viwandani.biashara.ujenzi.hospital etc, wadhamini wawili na namba zao za simu kama wanafanyakazi weka na vyeo vyao,kama unaudhoefu ni kwa mda gani .Tuma kwenye namba hii 0755914955