In short pga hyo kazi. Ndo maana nlsema vtu vya kushaur n vng sema hapa ni more public. Natafta namba flan then I will let u know. Mwsho mjengee mazingira ambayo ww utakua huru zaid ucje banwa ukakosa uhuru.
Mkuu mwambie hivi unaenda kupombeka tena Ijumaa hii. Utamtext ili akufungulie gate kisha umuombe avae hicho kinguo kilichokupagawisha mithili ya kanga na ndani atupie picchu. Kisha usisahau kutuletea mrejesho mkuu. Picha ya hicho kinguo na picchu ikionekana itakuwa poa sana ili nasi hapa jamvini tusisimke nywele na mioyo kwenda mwendo kasi. Kila la heri Mkuu.
Pombe sio maji mkuu achananayo unaweza kutema mate kulia ukafukia kushoto .Huyo kavaa dera ww umeona Mtandio wake
Kumbe wa kujichetua naye tu kwa mudaNdoa tena ? kweli hunitakii mema