Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Haaaa mie sio wa hivyo najitambua sana mkuu ukiniona live mwenyewe utakubali

Mkuu ndio maana nimesema unabahati sana, hata machoz ningetoa unajuwa hata simba huwa ni mkali sana ee
 
Sasa mkuu, umetuambia ni sa5 za ucku.....ulitaka aamke amevaa t-shirt na jeans au! ni wazi kwmb alikuwa amelala naked na huenda ht hyo kyupi alikuheshimu tu coz wadada wengi ukiwauliza hua wanalala bila kila kitu
 
Najiongeza palepale,ctompa nafac nikipokea funguo mkono wake ctouwachia, nakiguo chake alichovaa namsogeza kifuani pangu,na huku zoezi la gitaa la kasheba likiendelea
Yan huyu angepindwa pale pale kwny boneti, hadi kufika ndani amechojoa sio chn ya x3! tena na hv nna pombe, duuuh patamu sana...angejifanya serious na kunimaind asbh ningemwomba radhi, "sorry neiba, ilikuwa pombe tu", ila ujumbe umefika... halafu co kwmb ningemwacha thubutuu, ningeanza kumwmbisha kw njia za kidiplomasia sasa
 
Hongera kwa kuwa na gari mkuu. Maana umezunguka sana ila nimeona lengo lilikuwa kutujulisha kuwa una gari.
 
Hongera kwa kuwa na gari mkuu. Maana umezunguka sana ila nimeona lengo lilikuwa kutujulisha kuwa una gari.

Magisha aibu eti huyu nae Great Thinker na wingu lote la ujinga ulilonalo wewe ni kat ya wanaoamin gari ni anasa poor you
 
Yan huyu angepindwa pale pale kwny boneti, hadi kufika ndani amechojoa sio chn ya x3! tena na hv nna pombe, duuuh patamu sana...angejifanya serious na kunimaind asbh ningemwomba radhi, "sorry neiba, ilikuwa pombe tu", ila ujumbe umefika... halafu co kwmb ningemwacha thubutuu, ningeanza kumwmbisha kw njia za kidiplomasia sasa

da jamaa unaweza ukauaga uraia ukiwa unaona ujue
 
Sasa mkuu, umetuambia ni sa5 za ucku.....ulitaka aamke amevaa t-shirt na jeans au! ni wazi kwmb alikuwa amelala naked na huenda ht hyo kyupi alikuheshimu tu coz wadada wengi ukiwauliza hua wanalala bila kila kitu

So ilimpasa aje moja bila kabisa sio ?
 
Mkuu mwambie hivi unaenda kupombeka tena Ijumaa hii. Utamtext ili akufungulie gate kisha umuombe avae hicho kinguo kilichokupagawisha mithili ya kanga na ndani atupie picchu. Kisha usisahau kutuletea mrejesho mkuu. Picha ya hicho kinguo na picchu ikionekana itakuwa poa sana ili nasi hapa jamvini tusisimke nywele na mioyo kwenda mwendo kasi. Kila la heri Mkuu.
 
Mkuu ndio maana nimesema unabahati sana, hata machoz ningetoa unajuwa hata simba huwa ni mkali sana ee
Haaa haaa ningekupa maji tu yakunywa na huku upo kwenye kiti cha plastic nje kibarazani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom