Jirani yangu simuelewi

Duuh, nafac ilikuwa ile we kwa woga au ububu wako ndio umekukosesha uhondo hata huyo jirani ataona jongoo halipandi MTUNGI
 
siku nyngne uache kuandika riwaya ambazo hazina mvuto kma hii mkuu jarbu kucopy ata watto wa mama ntilie but kipaji unacho

Mmmm umenitokea wapi hahahahhaahaha maspeed yote haya kumbe hata kuandika huyui 🙂
 
Najiongeza palepale,ctompa nafac nikipokea funguo mkono wake ctouwachia, nakiguo chake alichovaa namsogeza kifuani pangu,na huku zoezi la gitaa la kasheba likiendelea

Hahahahahaahah labla mkolomije ila sio wadada wa taoo asee waweza jipata kwenye matatizo uwez amin
 
Cio kila ushauri unaufanyia kaz we chagua lip ufanye lip uache ila hata UKIMWI upo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…