Jirani yangu simuelewi

Don't drink and Drive.
 
Reactions: SDG
Huyo jirani anataka kujua kama una nguvu za kiume..
Achana naye tafuta mtoto mkali zaidi yake anza kumleta hapo kwako mana ukianza kumla uyo jirani ujue vipindi vingine utakua unapigia gest au usiku wa manane
 
hahahahahaha sawa jamaa
 
Tulia pombe ikishakutoka kichwani utapata jibu sahihi umfanye nini
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ JF is never boring. Jamaa anashangaa dada kutoka nje nusu mtupu ilhali ni usiku? Sasa si kaamshwa usingizini?
 
ndio ulikuewa mwisho wa mawazo yangu ndio maana ukatakiwa kutumia akili kulichekecha hilo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…