Labda mbilikimo alikuwa anajilia mtandao wake wa 0713!Duh wadau leo usiku nimepata mkasa wa ajabu na kuchekesha sana nipo safarini mtwara toka jumatatu nipo katika hotel moja nzuri sana tatizo ni kwamba madilisha ya hii hotel kati ya chumba kimoja na kingine yamepakana sana,kama kawaida yangu nikiwa kaunta napiga mtungi alikuja jamaa mfupi sana (mbilikimo)na mwanamke mkubwa kwelikweli,wakapewa chumba linachopakana na me!baada ya pombe si nikaenda kulala mweeee fupi yule kafungua madilisha yake si kaanzisha game huko yaani hata sielewi ilikuwaje nachoweza kusema ni yule mwanamke kutoa kelele nguvu usiku kucha akilia sana kwa moyowe kweli!!
Sijalala wadau hapa nipo zangu kwenye workshop macho yamevimba balaa nafikilia namna ya kwenda kuhama pale mbilikimo balaaaaaaaaaaaa!!!!!
Duh wadau leo usiku nimepata mkasa wa ajabu na kuchekesha sana nipo safarini mtwara toka jumatatu nipo katika hotel moja nzuri sana tatizo ni kwamba madilisha ya hii hotel kati ya chumba kimoja na kingine yamepakana sana,kama kawaida yangu nikiwa kaunta napiga mtungi alikuja jamaa mfupi sana (mbilikimo)na mwanamke mkubwa kwelikweli,wakapewa chumba linachopakana na me!baada ya pombe si nikaenda kulala mweeee fupi yule kafungua madilisha yake si kaanzisha game huko yaani hata sielewi ilikuwaje nachoweza kusema ni yule mwanamke kutoa kelele nguvu usiku kucha akilia sana kwa moyowe kweli!!
Sijalala wadau hapa nipo zangu kwenye workshop macho yamevimba balaa nafikilia namna ya kwenda kuhama pale mbilikimo balaaaaaaaaaaaa!!!!!
Mie nadhani umeelewa ndio maana umeufungua!Nahisi nazeeka sasa...manake baadhi ya nyuzi humu sizielewi kabisa..
Mfano kama huu hapa unauchangiaje sasa....lolz
Mie nadhani umeelewa ndio maana umeufungua!
Nahisi nazeeka sasa...manake baadhi ya nyuzi humu sizielewi kabisa..
Mfano kama huu hapa unauchangiaje sasa....lolz