Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,688
- 1,283
INAELEKEA AMESHAKUGUNDUA JICHO LIKO KWA MY WIFE WAKE KILA MARA, PUNGUZA UASHERATIZamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri kainua ukuta mrefu kama ule wa yeriko. sasa hatuonani tena hata wiki inaweza ikakata.
Haya sio maisha yetu waafrika maisha ya kitumwa kabisa haya.