yaan mm sijawahi kuona mtu anakopwa jero sijawahi binafsi kuonaungempa tu hiyo mia tano ungejuta. wachawi ni wajanja sana kun auchawi wa shilingi ukishampa hiyo hela anafunga uchumi wako unakuwa ni mtu wa maisha yanayoendana na jero jero
Usimpe,,hivi vi coin waswahili wanatumia Sana kufunga ridhiki za watu....Mimi mpaka Leo nafundisha watoto wangu Hapana kuokota pesa au kupewa tu na mtu barabarni marufuku!weee kwanza nimeogopa unakumbuka enzi zile tukiona shilingi tano njian tunaambiwa tusiokote watu watakuwa wameifanyia mambo
wanakopa hela ndogo ambayo wanajua kabisa huwezi kukosa huanzia shilingi 50,100,au 500 hawazidi hapo.yaan mm sijawahi kuona mtu anakopwa jero sijawahi binafsi kuona
Niliwahi kata kamba yangu ya kuanikia nguo aisee. Siku nimetoka kibaruani, nikakuta jirani kafua nguo zake hadi zile zingine kaanika kwenye kamba yangu, mwanzo mwisho. Alipoanua, jioni nikakata ile kamba.tena sio kidogo
vitendo navyo huwa vinaongeaKusaidiana kupo ila huyo ana lake jambo.
Kwanza fanya uchunguzi kwa hao majirani zako anaowapita ndo afike kwako, inawezekana alishawafanyia huo mchezo alichokitaka kashafanikiwa na kashawakalisha and now it's your turn..
Umefanya vizuri hujampa hela maana kuna uwezekano ikawa ndo kaburi lako.
Mchane ukweli kama hufagilii hzo swaga.
watu wana shida mzee, unaweza kujua dhihaka kumbe ndio wanaendesha maisha yao hivyoHellow JF
Jirani ni mtu muhimu sana kwenye makazi kwa sababu yeye ndiye mtu wa kwanza kukusaidia pale unapopatwa na shida na unahutaji msaada ,ujirani ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.
Huyu jirani yangu sijui ananijaribu kwa sababu anamtuma sana mwanaye kuja kuomba hapa home kuomba sio kosa kila mtu anahitaji msaada lakini huyu sijamuelewa.
Picha linaanza ikawa inaletwa simu kuchajiwa na kumbuka hapa sisi tumehamia hivi karibuni tu sio wenyeji kabisa kuna siku umeme wetu wa magumashi huu walikata tukawa kwenye Giza siku 2 hamna umeme dogo akatumwa alete simu mama kasema nilite simu ikae tu umeme ukija umchajie,baadaye akaja tena mama kanituma kama una sukari kidogo anaomba.
Siku nyingine akaja mama anaomba kitunguu kimoja kama unacho umpatie.
Jana sasa ndo kali akaja usiku mida ya saa moja hivi mama kasema anaomba umkopeshe mia tano nikamuuliza tena shilingi ngapi amekwambia akasema shilingi mia tano umkopeshe.Aisee Mungu anisamehe tu nikamwambia sina.
Halafu hapo anavuka nyumba kama 3 ndiyo inakuja nyumba ninayo kaa sasa wakat wa story na jiran mwingine akaniambia yaan hiyo nyumba ya chini hapo wakishakuzoea wanaomba hadi kero sabuni ya kuogea wanaomba sabuni ya kuoshea vyombo wanaomba mafuta ya kupakaa wanaomba yaan ni shida ,nikasema duh hapa kazi ipo kama ndiyo hivyo hapa inabidi kuwa kauzu sasa hivi.
Wakat mwinhn usifikir wanahiyo shida kweli mkuuu inakuwaga basi tuuu nong'wa umnyime aanze ubaya wake!!! Wakazie usiruhusu mazoea ya ajabu ndg heri nusu share kuliko .....!!! Heri wajue upendi mazoea mbuz kuliko kujifanya mwema kutaka kuwaridhisha ilihal ndo haohao kesho na kesho kutwa wanakupulizia!!!halafu sasa mume wake ana wake wawili inakuwaje mme ana wake wawili mkewe anakuja kukopa jero