Wangaeli
Member
- Apr 26, 2011
- 62
- 23
Taarifa kwa watumbua majipu ya waliovamia open spaces kuna jipu moja lipo hapo magomeni garden kuna sehemu ya garden imemegwa na nazani itakuwa ni chama fulani hivi ndo kimejimegea tunaomba hilo jipu litumbuliwe sio mnatuonea sisi wanyonge haki sawa kwa wote kama chungu iwe kwa wote na kama tamu iwe kwa wote hatutaki ubaguzi.