Jipatie vifaranga wa kuku

Jipatie vifaranga wa kuku

Eligi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
167
Reaction score
15
Wanajamvi;
Kwa wale wafugaji wa kuku- vifaranga wanapatikana kwa oda.
Bei ni nafuu kabisa.
Napatikana kanda ya kaskazini.
 
Wako
Weusi wa malawi na
Wekundu(new hampshire red)
Wako wa siku 3 na siku 9.
Ni PM kwa maelezo zaidi.
 
Wako Weusi wa malawi na Wekundu(new hampshire red) Wako wa siku 3 na siku 9.Ni PM kwa maelezo zaidi.
Kama una maelezo yazaidi kwa nini usiyaweke yote hapa?,
 
Ni sawa Kituko, hapa inategemea mtu anahitaji maelezo gani ya ziada.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi;
Kwa wale wafugaji wa kuku- vifaranga wanapatikana kwa oda.
Bei ni nafuu kabisa.
Napatikana kanda ya kaskazini.

ungetoa maelezo ya kutosha mkuu,kanda ya kaskazini ni kubwa. Eligi
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi;
Kwa wale wafugaji wa kuku- vifaranga wanapatikana kwa oda.
Bei ni nafuu kabisa.
Napatikana kanda ya kaskazini.

kanda ya kaskazin hata mara ni kaskazin kwa nn hutakisema unapatkana wapi hasa; hii ni biashara
 
nashindwa nianzie wapi,kwanza sifa zake,pili bei,tatu uko wapi(unapatikana wapi), no ya simu
 
Wako
Weusi wa malawi na
Wekundu(new hampshire red)
Wako wa siku 3 na siku 9.
Ni PM kwa maelezo zaidi.

haya mambo ya kukimbilia chemba haya ndio mpaka leo yana icost serikali yetu kuendekeza usiri wanaliwa mpaka leo kwenye contract zao za kipuuzi.
 
Ninapatikana Same- Kilimanjaro......karibuni!
 
Bei ni sh. 2000/ kifaranga cha siku 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom