mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,186
Happy Birthday mjumbe wa bwana .Kwa walimu wa shule za msingi nazani zitawarahisishia kazi zenu kipindi hichi Cha kuandaa maatokeo.
INACHOWEZA KUFANYA
1 Kutambua daraja za kila somo (A-E)
2 kutafuta wastani kwa kila mwanafunzi
3 Kutambua jinsi za wanafunzi
4 Kutambua waliosajiliwa
5 Kutambua wasiofanya mtiani
6 Kutambua waliofanya mtiani
7 Kutambua asilimia ya ufaulu kwa ujumla
8 N.k
UDHAIFU YA TEMPLATE
1. kwanza haipangi wakwanza mpk wa mwisho automatic mpk uje sort
2. Kunaweza kuwa na some error kwa sababu sikupata shule ya kufanyia majaribio
NOTE
kwa wale wataalumu zaidi mnaweza ziboresha na kuja kuziweka ili ziweze wasaidia walimu kwa ufanisi zaidi
HAPPY BIRTHDAY TO ME 19/05/19.. View attachment 2627225View attachment 2627226View attachment 2627227View attachment 2627228View attachment 2627230View attachment 2627235View attachment 2627237View attachment 2627238
Thanks mkuu tuzidi ombea tu mkuuTunawahitaji watu wenye mioyo hii katika taifa letu
Thanks my friend from jf My Great God bless youHappy Birthday mjumbe wa bwana .
Usijali mkuu tuzidi ombea tu uzima ila usisahau kuleta mrejesho kwa sehemu zitakapo leta makosa ili tufanyie marekebishoMkuu Sina la kusema Asante sana mkuu una moyo wa upekee
Mkuu labda nijaribu tengeneza pia naomba na mapungufu ya hizo hapo maana nataka leta update zake ila mungu akinijalia uzima nitajaribu tengeneza mpk inayotoa report tuzidi ombean tuBOS KAMA UNA TEMPLETE NA ZA SECONDARY TUPIA HUMU MKUU UMEKUWA MSAADA SANA
Changamoto katika kununua mkuu Leo nimetumia TEMPLETE Yako mapungufu niliyoiona ni sehemu ya nafac hukuweka iwe inapanga Rank kuanzia 1 Hadi wa mwisho Kwa tumia formulary ya rank nadhani ukiweka hiyo cell utakuwa umetisha sanaMkuu labda nijaribu tengeneza pia naomba na mapungufu ya hizo hapo maana nataka leta update zake ila mungu akinijalia uzima nitajaribu tengeneza mpk inayotoa report tuzidi ombean tu
Hilo nimelipokea soon nashusha update pia Kama Kuna changamoto nyingine usisite niambia ili niiweke kwenye hio update nitakayo ipandisha humuChangamoto katika kununua mkuu Leo nimetumia TEMPLETE Yako mapungufu niliyoiona ni sehemu ya nafac hukuweka iwe inapanga Rank kuanzia 1 Hadi wa mwisho Kwa tumia formulary ya rank nadhani ukiweka hiyo cell utakuwa umetisha sana
Pia kama utaweza uweke na sehemu ya ripot ya Kila mwanafunzi mwanafunzi hii iwe sheet inayojiyegemea Ili kuwe na uwezekano wa kuprint report Kwa ajili kumpa mzazi usisanau ni kipengele muhimu sanaHilo nimelipokea soon nashusha update pia Kama Kuna changamoto nyingine usisite niambia ili niiweke kwenye hio update nitakayo ipandisha humu
Sawa mkuu ngoja nipambanie mungu akijalia nitaipandisha hapaPia kama utaweza uweke na sehemu ya ripot ya Kila mwanafunzi mwanafunzi hii iwe sheet inayojiyegemea Ili kuwe na uwezekano wa kuprint report Kwa ajili kumpa mzazi usisanau ni kipengele muhimu sana
Mkuu usijali ila nimejaribu kuvunga kidogo ili muingize matokeo na kunipa madhaifu au Kama Kuna fomula nitakuwa nimekosea ili niweze rekebisha jaribu tag na wengine ili nikitoa update iwe imetatua na changamoto nyingineMkuuu tunasubiri update ya templete
Sawa mkuu kwenye grade pia rekebisha Kwa sasa msingi hawana ALAMA 100 wanaotumia ALAMA 50 ,rekebisha Kwa kutumia formula ya condition =if (Mkuu usijali ila nimejaribu kuvunga kidogo ili muingize matokeo na kunipa madhaifu au Kama Kuna fomula nitakuwa nimekosea ili niweze rekebisha jaribu tag na wengine ili nikitoa update iwe imetatua na changamoto nyingine
Usijali mkuu sikujua Hilo kwahio kwa madarasa yote mark 50 au Kuna jaribio linakuwa 50 na mtiani unakuwa na 50Sawa mkuu kwenye grade pia rekebisha Kwa sasa msingi hawana ALAMA 100 wanaotumia ALAMA 50 ,rekebisha Kwa kutumia formula ya condition =if (
Mkuu weka lengo langu Ni kusaidia watu tuMwanafunzi hajafanya mtihani inatoa comment ya daraja E. Badala ya ku comment hayupo. Kitaaluma hiyo tayari inavuruga tathimini ya ufaulu wa somo husika.
Inbox me kwa utatuzi wa hiyo ishu. Nina sample za template pia nime hofu kuziweka humu kuepuka kuvuruga project yako uliyo anzisha.