Jipatie tablets leo

jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Je umebahatika kukutana na tablet yenye uwezo wa aina hii.....

1.CPU: MTK 8389, 1.2GHz, Cortex A7 Quad core
2.OS: Google's Android 4.2
3,RAM: DDR3 1GB
4.NAND flash RAM: 8GB -32GB(optional)
5.TF-card extended: 128MB to 32GB
6.9-inch 16:9 AHVA capacitive 10 pin touch,Resolution: 1920 *1280
8.Support Wi-Fi: 802.11b/g,Support 3G USB dongle
9. Support 3G(WCDMA:850+2100MHz
GSM:850/900/1800/1900MHz),GPS,FM,Bluetooth,phone call
10.Support flash 11.1,Support 3GPP record format
12.Support 1,080P H.264,VP8,RV,WMV,AVS,H.263 and MPEG4 video formats
13.Support MP3, WMA, APE, FLAC, AAC, WAV and OGG audio formats
14.Support TXT, LRC, PDF, HTML, HTM, EPUB, PDB, FB2 and e-book formats
15.Support JPEG, JPG, BMP and GIF image formats
17.Support multiple language,Support G-sensor
19.Camera: Front 2.0Mega rear 5.0Mega (with auto Focus)
20.I/O port: USB2.0, Micro USB, TF card,HDMI,3.5mm headphones and build-in microphone
21.Use earphone for listening music: 10 hours video: 4 hours Browse: 5 hours
22.Battery: 5300mAh
23.Dimensions: 261 x 171 x 10mm

Jipatie tablets nzuri zenye ubora wa hali ya juu kutoka chinaworldbuz company limited, tunapatikana ghorofa ya 10 Jengo la ushirika tower, barabara ya Lumumba, mmnazi mmoja Dar es salaam.
Kwa mawasiliano moja kwa moja
+8613524159707 kwa message, simu na whatsapp.
Nyote mnakaribishwa
 
UNLOCK

JF-Expert Member
Mar 9, 2014
269
195

Weka bei wewe acha hizo.....
 
Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,807
2,000
Weka bei, picha, reliable contacts tena za kibongo, terms of payments and service delivery for upcountry buyers na je hizo tablets zina identical features au hizo sifa hapo juu umegeneralize?
 
jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Habari! Kwa mawasiliano nasi wasiliana na ndugu Peter Mwasunga
0653978496,‪ Regina Mpunga 0655908497‬ kwa sample zinapatikana pale ofisini kwetu gorofa ya 10, jengo la ushirika tower ni jengo jipya hili hapa karibu na Brela au CRDB Lumumba, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja!
Utapata kuona sample zetu, bei zetu na mengine mengi utaweza kujua kuhusu kampuni yetu! Karibu sana.
 
jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Habari yako Bwana Pastor! Kwa ndugu zetu wa mikoani tutafanya utaratibu wa kufungua matawi yetu au kuwa na magent ili kusaidia kukutana na mahitaji ya watu!
Asante
 
dikembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,646
2,000
Habari yako Bwana Pastor! Kwa ndugu zetu wa mikoani tutafanya utaratibu wa kufungua matawi yetu au kuwa na magent ili kusaidia kukutana na mahitaji ya watu!
Asante
Hujaelewa lengo la bwana Pastor, gharama ya kuja kuona sample toka mikoani hadi dsm na gharama ya kuweka picha ipi kubwa? kuwa mfanyabiashara wa kimataifa mkuu, weka PICHA na specs, uepushe maswali yasiyolazima.
 
jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Sawa ninakushukuru ndugu yangu kwa ufafanuzi mzuri! Asante ImageUploadedByJamiiForums1400836314.607912.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400836326.902420.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400836335.519417.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400836346.357433.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400836382.571363.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400836400.471317.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400836446.074484.jpg
 
Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,364
2,000
Bado bei hujatuwea ili tuamue kukupigia au la

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Kwa Bei ya reja reja ni laki tatu na arobaini, 340,000 japo hatuuzi reja reja ila tutafanya hiyo bei kama ni tablet 10-40 na kwa bei ya Jumla ni 290,000 kuanzia tablet 50 na kuendelea!
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,684
2,000
Habari yako Bwana Pastor! Kwa ndugu zetu wa mikoani tutafanya utaratibu wa kufungua matawi yetu au kuwa na magent ili kusaidia kukutana na mahitaji ya watu!
Asante

Mkinga gani hujui biashara wewe, weka bei kwa hiyo jamaa atoke tunduru kuja kuuliza bei dar?
 
jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
Sio kuwa kuna shida kuweka bei ndugu yangu! Tunapenda sana watu watutembelee pale ofisini kwasababu kuna mengi ya kujifunza kaka! Mfano watu wanafikiri labda egg incubators zenye kutotolesha mayai 5800 ni milion 10 kuendelea, uhalisia ni kuwa mpaka imefika dar es salaam ni milioni 3.1 tu, mfano mwingine machine ya lathe machine ya kutengeneza meter 3 watu wanafikiri inauzwa milion 50 lakin mpaka imekufikia Tanzania ni milioni 24, kuna vitu vingi sana tunataka mtanzania afike ofisini kwetu na kujifunza mengi! Kuna quotation za kila aina pale ofisini na kuna maelezo mazuri na sample zinapatikana hapo HILO NDIYO LENGO NDUGU YANGU tunataka kuwapatia watu taarifa nyingi na sahihi kwa wakati mmojan na hii inawezekana pale tunapokutana kwa mawasiliano zaidi nje ya hapa jamii forum! Asante na karibu
 
jluvanda

Member
Jan 15, 2013
67
0
mbeyatz kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Peter Mwasunga 0653 978496, kwa sasa tunauza kwa jumla ambayo ni kama reja reja pieces 10-40, kwa hiyo bei 340,000. Na zaidi ya piece 50 ni 290,000. Natumaini umenipata ndugu.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom