FarLeftist JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 363 Reaction score 21 Nov 9, 2010 #1 kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!! Legislation Tanzania (Lexadin) ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!!
kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!! Legislation Tanzania (Lexadin) ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!!
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 359 Nov 9, 2010 #2 GAGAGIGIKOKO said: kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!! Legislation Tanzania (Lexadin) ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!! Click to expand... Mkuu sasa wewe ndio mkombizo wa yote...mambo ya sheria watu wanatafuta sana...pande hizi...shida inabaki kuzitafsiri basi...ila kuzisoma ndio tutazisoma.
GAGAGIGIKOKO said: kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!! Legislation Tanzania (Lexadin) ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!! Click to expand... Mkuu sasa wewe ndio mkombizo wa yote...mambo ya sheria watu wanatafuta sana...pande hizi...shida inabaki kuzitafsiri basi...ila kuzisoma ndio tutazisoma.
WA MAMNDENII JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 344 Reaction score 58 Nov 9, 2010 #3 mkuu umetoa bonge la tafu, watu tukipata muda tupate kuperuzi japo tuwe mabush lawyer wenye confidence
mkuu umetoa bonge la tafu, watu tukipata muda tupate kuperuzi japo tuwe mabush lawyer wenye confidence
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,061 Reaction score 9,698 Nov 9, 2010 #4 Wakuu lakini muwe makini mana nyingne katika hizo ziliishafutwa( repealed) mfano Mining Law ya 1998 sasa ipo ya 2010.
Wakuu lakini muwe makini mana nyingne katika hizo ziliishafutwa( repealed) mfano Mining Law ya 1998 sasa ipo ya 2010.
FarLeftist JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 363 Reaction score 21 Nov 10, 2010 Thread starter #5 Shukran wadau kama kuna tatizo lolote la kutafsiri tukutane kwenye jukwaa la sheria hapo juu
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,081 Nov 11, 2010 #6 Unastahili kuambiwa asante
Nyikanavome JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 487 Reaction score 181 Nov 16, 2010 #7 ahsante Tanzania Medical Registration act na Nursing and midwives act hazipo au ni macho yangu hayaja angalia vizuri section ya health
ahsante Tanzania Medical Registration act na Nursing and midwives act hazipo au ni macho yangu hayaja angalia vizuri section ya health
D Derimto JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 1,307 Reaction score 325 Nov 16, 2010 #8 GAGAGIGIKOKO said: kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!! Legislation Tanzania (Lexadin) ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!! Click to expand... Umefanya la maana kwa wafaida ya watu wengi maana zamani ilikuwa ni kwa ajili ya watu wachache tu ndiyo wenye kuweza kuzipata na kuringa nazo Thnx. Man you are the man
GAGAGIGIKOKO said: kwa wale wadau wenzangu wa sheria fuata link hapo chini ujipatie Legislations mbali mbali bure kabisa!! Legislation Tanzania (Lexadin) ukifanikiwa bonyeza kidude cha thanks!! Click to expand... Umefanya la maana kwa wafaida ya watu wengi maana zamani ilikuwa ni kwa ajili ya watu wachache tu ndiyo wenye kuweza kuzipata na kuringa nazo Thnx. Man you are the man