Jipatie PDF ya bure inayofundisha kufanya biashara mtandaoni

Jun 8, 2016
83
651
Hii ni update kutoka
"Nilivyowekeza Laki Moja Hadi Kuanza Kutengeneza Milioni Moja Kila Siku 3"

PDF hii ina cover topic zifuatazo

CHAPTER 1 : Kupata kadi na account za kufanya manunuzi mtandaoni
-kadi ninazotumia kufanya malipo na kuagiza bidhaa kwenye mtandao
-nyongeza (verified account ya paypal ndani ya nusu saa)
CHAPTER 2: Kutafuta bidhaa (pamoja na tovuti ambayo tutakua tunaitumia sana)
Chapter 3 : Kutengeneza brand
-Jinsi ya kutafuta jina (jina litaloaminika na wateja)
-Jinsi ya kutengeneza Logo
Chapter 4: Vya kuzingatia kabla ya kuagiza bidhaa yoyote kutoka mtandaoni
Chapter 5: Jinsi ya kutafuta muuzaji anaeaminika
Chapter 6: Shipping option zote na maelezo yake
Chapter 7: Jinsi ya kutrack mizigo yako vizuri

Download PDF hapa


homepage-kitabu-2.jpg
 

Attachments

  • Biashara kwa mtandao introduction.pdf
    3 MB · Views: 596
Vipi lakini humo ndani umeweka mambo ya youtube na namna inavyolipa??
 
Back
Top Bottom