Jipatie nyumba Usagara Mwanza

Jipatie nyumba Usagara Mwanza

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Nyumba hii ipo Usagara centre bei inaanzia milioni kumi na 19 maelewano yapo tuwasiliane kwa 0788752672

attachment.php

 
Ukiwa na milioni 10, unanunua kiwanja na kujenga nyumba ka iyo na kupiga bati kabisa.
 
Huo uwanja uliojenga nyumba una ukubwa kiasi gani...kwa vipimo vya mita...je maeneo hayo umeme na maji vipo umbali gani...maana naona nyumba peke yake utadhani imejengwa jangwani.
 
Hiyo nyumba ina vyumba vingapi vile?...na master ngapi?
 
Ukipata mtu wa kumuuzia nyumba yako kwa milioni tano njoo quchukue laki moja bure nyumba yenyewe hiyo?
 
kaka ninavojua mim usagara center kuna nyumba za tanroad hyo nyumba itakuwa mbali na center labda km itakua center ya.kagera sawa lakini hapo usagara hakuna kitu km hicho,nlikwambia unitafutie kiwanja kuanzia darajani mkolani mpka buhongwa kisizid 6m,usagara shida ni maji,mim nimehamishiwa mwanza .
 
Back
Top Bottom