MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
Jipatie Nyumba iliyopo Nyakato Buzuruga Kwa Tshs 7,000,000= ( milioni saba tu) Nyumba inavyumba 6 . Tuwasiliane Kwa 0788752672
Weka picha basi
Mkuu hebu weka details vizuri. Nyumba ni ya kuishi au ina muundo wa biashara? Ipo buzuruga ndani stand au pembezoni? Wewe ni mmiliki au dalali? Na malizia kwa kuweka picha.
Nyakato ipi?
Ni Nyumba ya kuishi ipo Nyakato Buzuruga maarufu Kama Miti Mirefu mwenye Nyumba alikopa banki kashindwa kulipa na baada ya kumpa miezi mitatu ili alipe amekimbia hivyo Kwa kuwa benki ndio wenye hati zote za Nyumba.nyumba hii itauzwa Kwa njia ya mnada jumapili hii
Ukiwa unaelekea mecco shuka Kituo cha shule pita shule fuata barabara ya vumbi mpaka kanisani Nyumba ipo pembeni
Ndo nipo mkao wa kula hapa wa kwetu. Mil 7 kwa buzuruga, am eager to know ni buzuruga ya wapi. Hii inaweza kuwa lifetime opportunity wakwetu, usikae mbali nami.
Kumbe itauzwa kwa mnada na si milioni 7?km inauzwa 7 kweli kesho niwape pesa nipm please
Jipatie Nyumba iliyopo Nyakato Buzuruga Kwa Tshs 7,000,000= ( milioni saba tu) Nyumba inavyumba 6 . Tuwasiliane Kwa 0788752672
Niwape 20m leo leo achaneni na process za mnada.