kama Una Kadi ya CRDB Visa au Mastercard waweza nunua kwa Dola Amazon ,japokuwa ukikitafuta Tanzania utanunua kwa bei chee ,kama wajumbe walivyosema ni 7,000/=hapo TPH, ila kama uko nje ya nchi na una credit/debit card yako jitundike kwa DOLA/POUND Kadhaa
Mkuu ahsante sana kwa nakala hii, kwani hata mimi nilikitafuta sana hadi nikakata tamaa. Niliambiwa nikamuone Mwandishi mmoja maarufu Joseph Mihangwa angeweza kuniazima chake japo nikipige kopi. Lakini sas doh, mkuu ametusaidia wengi