ndetia
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 616
- 669
Agent wa kuuza bati za rangi na kawaida bati zetu zinatoka kampuni zifuatazo ALAF, DRAGON NA AFR-INA UNITED, Bei ni nzuri tupo buguruni chama or call 071328360 or 0718926320
Mkuu namba ya kwanza haijakamilika, editAgent wa kuuza bati za rangi na kawaida bati zetu zinatoka kampuni zifuatazo ALAF, DRAGON NA AFR-INA UNITED, Bei ni nzuri tupo buguruni chama or call 071328360 or 0718926320
vp kuhusu vi-peace kama nikija na vipimo nikawa nahitaji vipande, km baadhi ya supplier/viwandani wanakubali, hapo kwako je?usafiri juu yako bati ya Alaf migongo mipana 28G bei 15340 per meter...discount ipo ikichukua kuanzia meter 300.
mkuu sijakuelewa unaposema vipisi...tunakata bati kulingana na vipimo vyako...karibuvp kuhusu vi-peace kama nikija na vipimo nikawa nahitaji vipande, km baadhi ya supplier/viwandani wanakubali, hapo kwako je?
na Banda langu la 15m*12m nitakutafuta nitakapofikia kufunika
kwa mfano kampuni ya Alaf vigae versatile mita moja ni 15812 na kampuni ya dragon vigae versatile ni 13500 kwa mitaKuna bati flani za mfano wa vigae kampuni ya maisha vp naweza kuizipata? Au bati nzuri za vigae bei yake ikoje ukiachilia hz za migongo mipana..
versatile ni kam hizo picha mbili zilizo attached kwenye huu uzi, kukadiria sio rahisi hadi ujue ukubwa wa vyumba pia style ya unavyotaka kupauauwe unaweka na picha tujue maana unataja vigae versatile wengine hatuvihamu mpaka tuvione. Nyumba yangu ina vyumba vinne vya kulala, siting room, dining na store kwa kukadiria zinaweza kuingia bati mita miangapi ili nijipange mapema
Inategemea na kiwanda mfano kiwanda cha Afrna ni 21500 kwa urefu wa mita tatu hiyo gauge 30, dragoni 30 gauge ni 30000 kwa bati moja la mita tatu lile mgongo mdogo or mpananaombeni kujuzwa mabati yenye migongo ya kawaida ila ya rangi (kijani) ni shiling ngapi kwa bei ya kiwandani.
Asanteni
mkuu bati moja huwa ni sawa na mita ngapi au unamanisha bati moja lenye gauge 28 ndo linauzwa bei hiyo? Ni pm contact zako mkuukwa mfano kampuni ya Alaf vigae versatile mita moja ni 15812 na kampuni ya dragon vigae versatile ni 13500 kwa mita
huwa tunakata urefu wa bati kulingana na nyumba yako kwa mfano nyumba baada ya kupiga mbao unaweza kuwa na bati lenye urefu wa mita tano or saba sis tunakukatia urefu usiozidi mita 12, ila kwa mabati mengi huwa yanakatwa kwa urefu wa mita tatu ambayo ni sawa na futi 10, call 0713283760mkuu bati moja huwa ni sawa na mita ngapi au unamanisha bati moja lenye gauge 28 ndo linauzwa bei hiyo? Ni pm contact zako mkuu
Mkuu ndetia kama nimemwelewa vizuri mdau hapo juu....hizi ndo zile wanazosema zinatoka India?(sina uhakika kama zinatoka huko au zinatengenezwa hapahapa na wahindi but maarufu zinaitwa hivyo)Inategemea na kiwanda mfano kiwanda cha Afrna ni 21500 kwa urefu wa mita tatu hiyo gauge 30, dragoni 30 gauge ni 30000 kwa bati moja la mita tatu lile mgongo mdogo or mpana