Jipatie mabati kwa bei ya kiwandani

Jipatie mabati kwa bei ya kiwandani

Je mtu akitaka kuwekeza kidogo kidogo yaani analipia lkn hachukui mpk zifike idadi anayotaka utaratibu ukoje ?
 
Mkuu naomba kujua bei za bati za kawaida ila za rangi ya bluu kampuni ya Alaf ni sh ngapi kwa bati futi 3
 
usafiri juu yako bati ya Alaf migongo mipana 28G bei 15340 per meter...discount ipo ikichukua kuanzia meter 300.
kwa kanyumba ka 15090mm X 11200mm itanihitaji bati ngapi hapa hizi za migongo mipana? roughly?
 
kwa kanyumba ka 15090mm X 11200mm itanihitaji bati ngapi hapa hizi za migongo mipana? roughly?
hilo ni godown? maana 15090mm ni 150.9M ambayo ni kiwanja cha mpira kimoja na nusu ! au sijui hesabu za "kofia huuzwa dukani mwa daud cent mia"?
 
uwe unaweka na picha tujue maana unataja vigae versatile wengine hatuvihamu mpaka tuvione. Nyumba yangu ina vyumba vinne vya kulala, siting room, dining na store kwa kukadiria zinaweza kuingia bati mita miangapi ili nijipange mapema

Mkuu at least ungesema ukubwa wa nyumba, urefu x upana; mfano 5x7, 7x11 nadhani inaweza itasaidia kujibu
 
Mkuu naomba kujua bei za bati za kawaida ila za rangi ya bluu kampuni ya Alaf ni sh ngapi kwa bati futi 3
Akikujibu unistue, pia muulize simba dumu bati za kawaida rangi ya kijani ni sh ngapi
 
hilo ni godown? maana 15090mm ni 150.9M ambayo ni kiwanja cha mpira kimoja na nusu ! au sijui hesabu za "kofia huuzwa dukani mwa daud cent mia"?

Mkuu tuhurumie wanzako hatukupenda kbs hako kasomo
 
Mkuu ndetia una agent dodoma?nahitajia 534sq M ya ALAF gauge 28..kama discount ipo sema ule pesa yangu.
 
mkuu na mm nahitaji tafadhari njoo Pombe Magufuli (PM) tuyajenge
 
hilo ni godown? maana 15090mm ni 150.9M ambayo ni kiwanja cha mpira kimoja na nusu ! au sijui hesabu za "kofia huuzwa dukani mwa daud cent mia"?
Wewe ndio umekosea 1M =1000mm. Kwa hiyo 15090mm = 15M ambayo ni kipimo cha kawaida kabisa.
 
Agent wa kuuza bati za rangi na kawaida bati zetu zinatoka kampuni zifuatazo ALAF, DRAGON NA AFR-INA UNITED, Bei ni nzuri tupo buguruni chama or call 071328360 or 0718926320
Bando shiringi ngapi?
 
hilo ni godown? maana 15090mm ni 150.9M ambayo ni kiwanja cha mpira kimoja na nusu ! au sijui hesabu za "kofia huuzwa dukani mwa daud cent mia"?

Conversion ya meta kwenda milimeta ni 1m = 1000mm. Kwa hiyo 15090mm = 15.090m
 
Kwa heshima kubwa napenda kuuamsha huu mjadala!!! Karibuni nyote!!
 
Back
Top Bottom